Thursday, July 4, 2019

MAUDHUI YA WASOMI HURU

Lengo la blog ya " WASOMI HURU" kutoa ushauri, nasaha na kuwasaidia wanafunzi kuanzia msingi hadi secondari na ukitembelea blog hii kila mara utapata dondoo kama zifuatazo

  1. Kwa nini tunaenda shule 
  2. Umuhumi wa kupata nafasi ya kwenda shule
  3. Je! kuna uhusiano Kati ya kwenda shule na mafanikio
  4. Je? ni kweli mtu atafanikiwa endapo ata enda shule
  5. Elimu in
  6. a unasaba na maisha yetu ya kila siku
Pamoja na kutoa noksi za baadhi ya masomo ya sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi nne kama masomo ya fuatayo
ENGLISH
GEOGRAPHY 
HISTORY
CIVICS
BIOLOGY 
CHEMISTRY 
PHYSICS 
KISWAHILI
Maisha baada ya kusoma
Hayo yote yataweza kujadilowa katika blog hii ili kuleta chanya katika maendeleo ya wanafunzi hapa nchini Tanzania

No comments: